KIGOMA: Kijana aliyefariki miaka 20 iliyopita na kuzikwa akutwa hai (+Video)

 


Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Stewati Edward mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma anayedaiwa kufariki Dunia miaka 20 iliyopita na wazazi wake kufanya mazishi amepatikana akiwa hai.


Edward licha ya kukutwa hai lakini hawezi kuongea kutokana na ncha ya ulimi wake kukatwa.


Stewati Edward alifariki Dunia mwaka 1994 akiwa na umri wa miaka nane (8) pamoja na ndugu zake sita lakini ghafla mama mzazi wa kijana huyo akapata simu iliyomtaarifu kuonekana kwa Edward baada ya miaka 20 kupita.


VIDEO:


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments