Trevor Noah atajwa kuongozaMchekeshaji maarufu wa televisheni hapa Marekani kwenye kipindi cha Daily Show, na mwenye asili ya Afrika kusini Trevor Noah ametajwa ataongoza tamsha la tuzo za Grammy la mwaka ujao wa 2021. Mapema mwaka huu. Noah alikuwa ameteuliwa kupokea tuzo yake ya kwanza ya Grammy kwenye kitengo cha album bora zaidi ya comedy lakini kwa bahati mbaya akabwagwa na Dave Chappelle.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments