Ile Ngome imara ya CLOUDS Media Kwisha Habari yake


Enzi za nyumba unaambiwa Wasanii wakubwa ili kutoa nyimbo exclusive ilikuwa lazima atoa Clouds FM Akitoa Redio nyingine imekula kwake , Unaambiwa XXL walikuwa ndio kama wameshikilia Bongo Flava

Na pia Kuna kipindi wasanii walikuwa wanaogopa kushiriki shughuli na events za wasafi wakihofia Clouds Media lakini leo unaona hadi akina Nandy, Fid Q, Marioo wanashiriki matamasha ya wasafi daah mambo yanabadilika. Ile ngome imara ya Clouds media kwisha habari yake.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments