Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kanye West na Kim Kardashian Kimewaka..Mpambano Mkali Waendelea

 


Baada ya taarifa za mchakato wa talaka kushika kasi kwenye ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West, sasa inaarifiwa kwamba Kim Kardashian anataka haki ya uangalizi na malezi ya watoto kwa wakati wote yaani full custody.


Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, Kim ameajiri mwanasheria maalum wa masuala ya talaka aitwaye Laura Wasser na anaonekana kuliwekea mkazo suala hilo kwa kutaka haki ya muda wote kuwaangalia na kuwalea watoto wake; North, Saint, Chicago na Psalm.


Chanzo cha karibu na Kim Kardashian kinasema mpambano wa kupata haki ya malezi ya watoto sio mdogo kwani Kanye naye anafanya juhudi kubwa.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments