Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

KKKT kama TEC, yatoa waraka wa angalizo

Wiki moja baada ya Kanisa Katoliki kutahadharisha, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) nalo limetoa waraka kuwataka waumini wake kujihadhari na ugonjwa wa corona.


KKKT imewakumbusha waumini wake na Watanzania kwa ujumla kuzingatia maelekezo ya kujikinga na mamabukizo ya virusi vipya ambavyo vimeshambulia nchi kadhaa duniani.Waraka huo umetolewa na mkuu wa kanisa hilo nchini, Askofu Frederick Shoo na kupewa jina la ‘tusimjaribu Mungu kwa kutokuchukua tahadhari’ kwenda kwa maaskofu wa dayosisi zote na wajumbe wa halmashauri kuu ya kanisa hilo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments