Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mawaziri watatu Zimbabwe wafa kwa corona ndani ya wiki moja

 Waziri wa Usafirishaji wa Zimbabwe,  Joel Biggie Matiza amefariki dunia Ijumaa Januari 19, 2021 katika hospitali ya St. Annes Harare alikokuwa akitibiwa ugonjwa wa Corona.

Matiza anakuwa waziri wa  tatu wa nchi hiyo kufariki dunia kwa ugonjwa huo katika kipindi cha wiki moja.


Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo - Ajira Yako

Wengine waliofariki dunia ni aliyekuwa waziri wa mambo ya nje,  Sibusiso Moyo na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani, Ellen Gwaradzimba.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments