Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rita Yatoa Talaka zaidi ya 200 Ndani ya Mwaka 2020Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umetoa vyeti vya talaka 221 katika Mkoa wa Dar es Salaam pekee kuanzia Januari hadi Desemba mwaka jana


Wakili Mwandamizi wa Serikali wa RITA, Edna Kamara amesema huenda idadi hiyo ingekuwa kubwa zaidi kama Ndoa zote zingevunjika kisheria Mahakamani


Amesisitiza kuwa, ni muhimu kwa Wanandoa wanaoachana kufuata utaratibu wa Kisheria uliowekwa ili kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza


Amesema kumekuwa na idadi kubwa ya Wanandoa wanaoachana na wanapaswa kuiangalia kwa jicho la karibu ili kupunguza janga hilo ambalo matokeo yake husababisha kuvunjika kwa mahusiano mazuri ya #Familia ikiwemo Watoto, ndugu na jamaa kuathirika.

Join Our Telegram Group for Job Updates CLICK HERE Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments