Updates kuhusu ajali ya Treni Dodoma.. Hii ni Taarifa kutoka shirika la reli Tanzania TRC Kuhusu Idadi ya Vifo na Majeruhi


Taarifa kutoka Dodoma zinaeleza kuwa treni ya abiria imeanguka na kusababisha vifo na baadhi ya watu kujeruhiwa.

Treni hiyo ya reli ya kati ilikuwa safarini kutoka Dar Es Salaam kwenda bara. 

Updates kuhusu ajali ya Treni Dodoma.. Hii ni Taarifa kutoka shirika la reli Tanzania TRC kuhusu ajali hiyo
That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments