Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Vanessa Mdee "Baada ya PETE ni Mtoto Afuata"


Mwaka 2020 inawezekana haukuwa poa sana kwa upande wako lakini kwa mwanadada @VanessaMdee unaweza kuwa ni mwaka wa kihistoria hasa kwenye upande wake wa mahusiano


Ni mwaka ambao taswira ya nje inaonyesha dhahiri furaha kutawala moyoni mwake akiwa mikononi mwa mshkaji ambaye anamtaja kama mwanaume wa maisha yake (@rotimi), haikuishia hapo 2020 ikafungwa kwa bonge la step kimahusiano baada ya @rotimi kumvalisha pete ya uchumba.


Kama wewe ni shabiki wa couple ya Vee & Rotimi, tarajia makubwa 2021 coz wawili hao hawaonyeshi kupoa hata kidogo, penzi linazidi kukolea siku hadi siku.


Kupitia InstaLIVE ya @VanessaMdee na mdogo wake @Mimi_mvrs11, @Rotimi amefunguka kwa kusema kuwa sasa anawekeza nguvu zaidi kuhakikisha wanampata mtoto wao wa kwanza mwaka huu 2021.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments