Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Z Anto Akunusha Skendo ya Kupita na Mrembo Nicole Berry

 


Nicolejayberry Alimtolea Maneno Makali Z Anton Aache Kutafuta Kik Zidi Yake Baada ya Kusambaa Video Akionekana Z Anton Amemshika Kiuno Nicolejayberry.


Kwenye Interview Yake Z Anton Aliulizwa Nikweli Unatoka Kimapenzi na Nicolejayberry, Alijibu Sio Kweli na Amesema Kumshika Mtu Kiuno ni Sawa na Mtu Anae Shikwa Mkono Jambo la Kawaida Tu Ila Nicolejayberry Sio Mpenzi Wangu Tulikuwepo Nae Baada ya Yeye Kunialika Kwenye Event Yake na Watu Wangu.

 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments