Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

B Gway: Diamond kunitaja na kuisifia ngoma yangu ni sawa na remix tayari (+ Video)Aliyewahi kuwa msanii wa @naytrueboytz @bgway_gwayne amefunguka kwa mara ya kwanza sababu iliyomfanya akae kimya kwenye muziki.


Mbali na hilo @bgway_gwayne amemshukuru @diamondplatnumz kwa kuisifia ngoma yake ya MWAKA HUU na kusema kuwa kitendo cha Diamond kumtaja kwenye Interviw yake na kuisifia ngoma yake mpya ya MWAKA HUU na kusema ndio wimbo wake bora ni sawa na Remix tayari.


VIDEO:


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments