Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Gigy Money Amtetea Rayavnny – “Paula Kataka Mwenyewe” -Video

 


MSANII wa muziki Bongo Fleva, Gift Stanford maarufu ‘Gigy Money’ usiku wa kuamkia leo akifanya mahojiano na wanahabari amezungumzia lkuhusu sakata la mtoto wa Kajala Paula na Rayvanny.


“Sioni tatizo kwa Rayvanny mwanangu mimi sio chizi, mtoto wa kike ana nguvu yake huwezi kumzuia kufanya, wangapi wana mahusiano na watu walio wazidi umri? Mimi kama mama ningewabariki tu.

VIDEO:


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments