Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Jaji Yamkuta, DNA yabaini Watoto wa Tatu Aliyozaa na Mkewe sio Wake

JAJI mmoja kutoka jimbo la Delta, Nigeria, kwa jina Anthony Okorodas, amefichua kuwa si baba halisi wa watoto watatu kutoka kwa ndoa yake na mke wake wa zamani. Celia Juliet Ototo.

Taarifa iliyotolewa na mwanasheria huyo, ilieleza kuwa Celia alitengana naye miaka 11 iliyopita kwa mujibu wa ripoti ya Premium Times na kwamba baada ya kufanya uchunguzi wa DNA, matokeo yalibainisha fununu ambayo alikuwa amepata.

Kwa mujibu wa Okorodas, alishawishika kuwafanyia wanawe wengine wawili DNA na alivunjika moyo baada ya kubainika kwamba watoto hao si wake. Alisema tukio hilo lilimshtua pamoja na mke wake wa sasa na watoto wao wanne na pia watoto wa Celia.

Okorodas alisema aliamua pia kuwafanyia DNA wanawe wanne kutoka kwa ndoa yake ya sasa na matokeo yalionyesha kuwa ni baba yao asili. Mwanasheria huyo alisema ataendelea kuwashughulikia watoto watatu wa Celia ambao wamefuzu kuendelea na masomo ya chuo kikuu.

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

1 Comments

  1. Muulizeni Sanura, Mchezo kampa Makkame Mrisho, akategeeshea kwa Abdul mtoto
    kampa BUBU NYANGE.


    INAKUWAJE JAJI PIA ATEGESHEWE..SANURA IKO VIPI KWA DANGA HILI.

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)