Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mbunge Awalaumu TRAFIKI Kugeuza Kitengo Cha Barabarani Kuwa Chanzo Cha MapatoMbunge Salome Makamba, mmoja kati ya waliofukuzwa CHADEMA amesema Ajali za Barabarani hasa kwa Madereva wa Pikipiki (bodaboda), zinasababishwa na adhabu kutoka kwa Askari wa Usalama Barabarani


Salome amedai tatizo hilo linatokana na Trafiki kukifanya Kitengo cha Usalama Barabarani kuwa chanzo cha mapato. Asema, baadhi ya bodaboda huwakimbia Askari ili kukwepa faini, hatimaye wengi wao huangukia ajalini


Ameongeza kuwa, “Watu wanakwepa ma-trafiki, wanakimbia sababu ukikamatwa, hakuna onyo ni faini". Kukithiri kwa adhabu za makosa ya barabarani ni dosari zilizopo katika vifungu vya #Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973.

Sikiliza Wimbo Hapo Chini Rosa Ree Aliyofanya na Waimbaji Undergroud, Ni Noma Diamond Ampa Big Up:

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments