Unaambiwa Ugonjwa wa Corona ndio anasababisha mpaka leo Hamisa Mobeto Hajaolewa , Mwenyewe ameamua kufunguka bila woga kupitia Insta Story yake
Ameandika haya "Yaani Kila Nikitaka kuolewa Corona Hiyooo, Sijui Kwanini?"
Mpaka Sasa haijajulikana ni nani muoaji japo amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na Mfanya biashara Fred Vunja Bei
Sikiliza Wimbo Hapo Chini Rosa Ree Aliyofanya na Waimbaji Undergroud, Ni Noma Diamond Ampa Big Up:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
1 Comments
Piga Nyungu wiki hala nawa maji tiririka nunua barakoa vaa. na chupa mbili za covido na Bycaro. Harusi Hiyooo, TUNASHEREHEKEA.
ReplyDeleteHongera Mdada, Mungu akiandika Asumani Hapindui.
Umesha mjulisha shemeji kwa Mwijaku..? Tufanye Fatiha.