Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Bakwata "Kuna Ufungaji Holela wa Ndoa Zisizo Halali"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya ya Dodoma limewataka wanaofungisha Ndoa za Kiislamu kuhakikisha wana Vyeti halisi vya Ndoa na Leseni Maalumu inayotambuliwa na Baraza hilo


Katibu wa BAKWATA Wilayani humo, Ahmed Msuri amesema kumekuwepo na ufungishaji wa Ndoa za Kiislamu holela zisizo halali ambazo hufanyika mitaani kwa kutumia vyeti bandia ambavyo havitambuliwi na Mamlaka


Hali hiyo imechangia kuwepo kwa migogoro mingi kwenye Ndoa isiyokuwa na tija na mingine imeshindikana hata kutatuliwa kutokana na wengi wao kugundulika kuwa na vyeti feki


Mashehe, Maimamu na Walimu wametakiwa kuwatambua wanaofungisha #Ndoa kama wana vibali halali na wapo kisheria ili kuheshimu Msingi wa Dini ya Kiislamu

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments