Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Harmonize 'Nimeandika Talaka Kwa Sarah'


Harmonize amejibu swali ambalo limekuwa likiulizwa na wengi hasa baada ya kushamiri kwa penzi lake na muigizaji @kajalafrida, ikiwa inafahamika wazi kuwa @harmonize_tz alifunga ndoa ya halali na mrembo mwenye asili ya kizungu @sarah__tz, vipi baada ya kuachana! Talaka alitoa!?

"Sarah ni mtu ambaye nimeishi nae kwa miakq minne kama vijana kuna mengi tumeyapitia kama changamoto ninachoshukuru ni kila mmoja yupo kwenye maisha mengine sasa hivi na ninamuombea Mungu amsaidie, talaka nimeandika" -@Harmonize_Tz • #LeoTena

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments