Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Juma Lokole: Ninachojua ni kwamba Diamond anamkubali sana Alikiba, sikujua kama alikiba naye anamkubali Diamond vileMtangazaji wa Wasafi media @jumalokole2 ameeleza kufurahishwa na kitendo cha @officialalikiba kucheza nyimbo za wasanii wa WCB hadharani na kusema amechoka kucheza chumbani ameona bora acheze hadharani.


@jumalokole2 ameongeza kuwa yeye anamkubali sana @officialalikiba ila anamshauri kitu kuhusu @mwijaku na @soudybrown , Mwijaku na msaliti bora Soudy Brown kwahiyo alikiba awe naye makini sana maana ameshamsaliti Harmonize.

“Nimeshangaa sana kuona Alikiba ancheza nyimbo ya Harmonize ya watoto Happy birthday ili ni aibu ameona amfurahishe tu maana Harmonize ametoa nyimbo nyingi sana lakini jiulize Alikiba anasema anaipenda Happy Birthday ”

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments