Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Zuchu aweka rekodi mpya, afikisha subscriber mil 1 youtube ndani ya miezi 11

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Baada ya kuvunja rekodi hiyo kwa wasanii kutoka katika bara la Afrika hasa kusini mwa jangwa la sahara kufikisha Subscriber milioni moja ndani ya miezi 11 tu ya career yake ya muziki. wasanii wengine wa kike wenye Subscriber zaidi ya mil moja ni pamoja na Yemi Alade kutoka Nigeria mwenye subscriber milioni 1.7.  Zuchu ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram.


“1,000,000 SUBSCRIBERS ASANTENI SANA KWA UPENDO HUU ULIOPITILIZA WA KUNIWEZESHA KUFIKA SUBSCRIBES 1 MILLION NDANI YA MIEZI 11 .NINA VING VYA KUWASHUKURU ILA KWA LEO HISTORY HII TULIOWEKA NDO YA MUHIMU .

WE HAVE RECHED 1,000,000 MILLION SUBSCRIBERS ON YOUTUBE I CANT THANK YOU ENOUGH.THANK YOU SO MUCH FOR YOUR ENDLESS SUPPORT .
WAITING FOR OUR GOLD PLAQUE LIKE 😎”

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments