Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Diamond Platnumz Aweka Rekodi Hii Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki.


Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscribers milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube.


Kwa karibu anafuatwa na Rayvanny Akiwa Na Milioni 2.63, Harmonize Akiwa Na Milioni 2.4, Davido akiwa na milioni 2.38, Burna Boy milioni 1.82 na Wizkid milioni 1.68.


Mafanikio haya ya sasa ya Diamond yanakuja yakifuata rekodi aliyoiweka mwaka jana (2020) baada ya wimbo wake maarufu 'Waah' aliomshirikisha mwanamuziki wa Koffi Olomide wa DRC kutazamwa na watu milioni 1ndani ya Masaa 8 baada ya kibao hicho kutoka, na kuvunja rekodi iliyowekwa na mwanamuziki wa Nigeria Davido baada ya kibao chake 'Fem' kuwavuta watazamaji milioni moja ndani ya saa 9 tangu kibao hicho kilipoachiwa.


Rekodi nyingine iliyowekwa na mwimbaji huyo ni kuwa msanii wa kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa na watazamaji bilioni moja youtube.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad