Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rais Samia Akutana Na Spika Ndugai Ikulu Dodoma

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai leo tarehe 20 Aprili, 2021 Ikulu Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe Aprili 20, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai Ikulu Jijini Dodoma

 

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai mara baada ya mazungumzo yao leo tarehe 20 Aprili, 2021, Ikulu Jijini Dodoma.


Post a Comment

0 Comments