Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Staa na Msanii Idriss Sultan Apaa Kimataifa Hadi NETFLIX, Ndoto Yake Yaelekea Kutimia

 


Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha movies ya NETFLIX, Movies atakayoonekana huko Netflix inaitwa Slay

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments