Albert Chalamila ateuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Albert Chalamila kuwa mkuu wa Mkoa wa Mwanza, kabla ya uteuzi huo RC Chalamila alikuwa mkuu wa Mkoa wa Mbeya

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE