AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera akichukua nafasi ya Brig. Jen. Gaguti ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK