.

5/23/2021

Bruno Mars Aweka Rekodi Hii Katika Ulimwengu wa Mziki


Bruno Mars amekuwa msanii wa kwanza na wa pekee kwenye historia kufikisha jumla ya nyimbo 5 ambazo zote zimepewa kiwango cha Diamond yaani zimeuza nakala zaidi ya milioni 10 (5 Diamond Certified Singles)

Ngoma zilizomfikisha kileleni ni: Just The Way You Are, Uptown Funk, When I Was Your Man, That's What I Like na Grenade.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger