.

5/20/2021

CDF Mabeyo apongeza uteuzi wa Mkuu wa JKT


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, amewapongeza Brigedia Jenerali Rajabu Mabele ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Kanali Absolomon Shausi, ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA-JKT.
Uteuzi huo umefanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ambapo CDF Mabeyo, amewapongeza kwa kuaminiwa katika nyadhifa hizo na kuwatakia heri katika utendaji wao wa kazi.

Brigedia Jenerali Rajabu Mabele, amechukua nafasi ya Meja Jenerali Charles Mbuge, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Kagera, ambapo hapo awali Brigedia Jenerali Mabele alikuwa ni Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA-JKT


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger