.

5/21/2021

Nedy Music: Siku hizi ukitaka kutambulisha msanii mpya Tanzania lazima ufanye vitu vingi vya kijinga ndio asikike, vitu vya ajabu kweliAkiongea na @el_mando_tz @nedymusic amesema kwamba “Muziki wetu tulifika mbali sana wanaanza kuurudisha nyuma tena, kuhusu tambia mbaya kwa wasanii mimi siwalaumu wao tu nalaumu mpaka wanaowahoji watu wapumbavu na kuacha watu wa maana, eti ukiuliza wanasema content”

“Siku hizi ili utambulishe msanii mpya lazima ujipange mmabo mengi, wasanii wanahangaika na viewers tunachekwa tu muziki wetu unashuka, ndio maana mpaka sasa hivi hatupo kweny tuzo kubwa kama zamani, lini uliona msanii kama Burna boy anapost mambo ya trending Youtube ?

 
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger