Rais Samia Amteua Sylvester Mwakitalu Kuwa DPP Mpya

advertise hereRais Samia Suluhu leo Mei 15, 2021 amemteua Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) anachukua nafasi ya Biswalo Mganga aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE