Rumbe in Dar Mwakinyo alivyomchakaza bondia wa Angola, Antonio Mayala kwa Knock Out

advertise here


Bondia wa Kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, amempiga kwa TKO, bondia wa Angola Antonio Mayala ,katika raundi ya 9 ya pambano la ubingwa wa uzito wa Super Welter unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Afrika (ABU).

VIDEO:


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE