.

5/29/2021

Simba watawala kikosi kipya Taifa Stars

 


Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 27, kitakachoingia kambini Juni 5, 2021 kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Malawi.


Kocha Kim ametangaza kikosi hicho leo huku akimjumuhisha mshambuliaji wa Mbeya City Denis Kibu kwa mara ya kwanza, na wachezaji kama Jonas mkude, Farid Mussa na Thomas Ulimwengu wakiachwa kwenye kikosi hichoHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger