Madame Rita Afunguka Kumpata Mtoto Wake wa Kwanza Akiwa na Miaka 14 tuMadame Rita alimpata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 14 tu. Ilimlazimu kusubiri binti yake awe mkubwa ndipo arejee shuleni.

Ushauri wake kwa mabinti ni kwamba sio jambo linalopaswa kuwatokea, lakini kwa wale lililowatokea wasione ni mwisho wa maisha, bado wana nafasi ya kupigania ndoto zao.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE