AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
John McAfee amefariki katika chumba kimoja cha Gereza katika Jiji la #Barcelona, Uhispania
Umauti umemkuta saa chache baada ya Mahakama Nchini humo kuamua kumsafirisha hadi Marekani ili akashtakiwe kwa makosa ya kukwepa kodi
Taarifa za awali zinaeleza uwezekano wa John #McAfee kujiua
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK