.

6/05/2021

Waziri Innocent Bashungwa ampongeza Diamond Platnumz kuingia tuzo za BETKupitia ukurasa wake wa Instagram Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa ameandika kupitia ujumbe huu.“Ushindani wa ndani ni wa afya kwa sanaa yetu kwani unahamasisha ubunifu na kuongeza thamani kwenye kazi za sanaa. Inapotokea ushindani ni baina ya Mtanzania mwenzetu na watu wa nchi nyingine ushindani tunauweka pembeni na kutanguliza uzalendo tukitambua ushindi wa Mtanzania mmoja ni sifa kwa Taifa zima hususani tasnia husika.

Nampongeza @diamondplatnumz kwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za BET kama msanii pekee toka Afrika Mashariki, naamini ataileta tuzo hii nchini “

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger