Dereva Taxi Aliyeshitakiwa Kumteka Mfanyabiashara Maarufu Nchini Mohammed Dewji Aachiwa Huru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia Kesi na kumwachia huru Dereva Taxi, Mousa Twaleb aliyekuwa akishitakiwa kwa kumteka Mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji maarufu kama 'MO'

Twaleb alifikishwa Mahakamani hapo May 28, 2019 na kusomewa mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi na Wakili wa Serikali Mkuu, Paul Kadushi akisaidiana na Wakili wa Serikali, Wankyo Simon, ambapo ilidaiwa katika shitaka la kwanza Mshitakiwa alijihusisha na genge la uhalifu.

MO alitekwa Oktoba 11, mwaka 2019 alfajiri maeneo ya Hoteli ya Colloseum wakati akienda kufanya mazoezi na alipatikana Oktoba 20, mwaka huo majira ya usiku alipotelekezwa na gari katika eneo la Gymkhana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad