.

7/24/2021

Unaambiwa Level Ushawishi Aliyonayo Kanye, Hakuna Rapper yeyote Aliye Hai Mwenye Nayo, si Jay Z si Drake


Level hii ya ushawishi aliyonayo Kanye, hakuna rapper yeyote aliye hai mwenye nayo, si Jay Z, si Drake wala mwingine yeyote! Numbers don't lie, kaonesha hili kwenye muziki na biashara ya fashion. Licha ya kuzingua kwa misimamo yake ya kisiasa etc na wengi kuhisi atapitiwa na the so called 'cancel culture' Ye amesurvive na kudhihirisha kuwa he's uncancelled.

Ye ni jitu la aina yake tu. Na maisha yake ya mafumbo na kutofanya yaliyozoeleka kwa wengi humuongezea nguvu hii ya ushawishi.

Laiti kama Donda ingetoka leo, music streaming services zingecrush! The anticipation is unbelievable! Wacha tuone ataitoa lini lakini naamini siku yoyote itakapotoka, album hii itaandika historia.

Sky Tanzania

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger