Dababy aacha ku-rap na kuimba RnB kisa kuondolewa kwenye matamasha 6 kwa kauli za kibaguzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mwaka unaisha vibaya kwa Rapa Dababy Baada Ya kuondolewa Kwenye Matamasha sita(6) makubwa kufuatia Kauli aliyoitoa kwenye tamasha la ROLLING LOUD ambalo lilifanyika July 25 kwenye mji wa MIAMI,kauli hiyo ambayo Iliyotafsiriwa Kuwa Ya kibaguzi.



Dababy amedai ameamua kuachana na Rap baada ya kupost kwenye instastory yake akiimba kionjo cha wimbo RnB akiwa na binti yake na kuandika

“They Done Cancelled Your Daddy Twin I’M switching To Rnb” Akimanisha Wamekamilisha kunitoa baba yako pacha,naamia kwenye RnB.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad