.

8/25/2021

Irene Paul "Yule Mtu Mweupe Alinifanya Nipende Mpira, It's about time nguvu yako Ijulikane"


Irene Paul ameandika haya:


"Kaka yangu @hajismanara......

Mimi ni kati ya wale ambao nilipenda mpira kwa sababu yako,yani your personality na jinsi ulivyofanya kazi yako katika sehemu uliyokuwa ndiyo ilinifanya niipende timu👌👌

PASSION:Ulisimamia ulichokifanya kwa mapenzi yote,na ulifanikiwa kutengeneza mvuto kwenye mpira kwa baadhi nikiwemo mimi hasa kwa timu uliyokuwa.

Ninaamini katika KUHESHIMU INFLUENCE ya mtu katika kitu,niseme tu hiyo pia ni talanta ambayo sio kila mtu anayo....ITS GOD GIVEN!!!!! It's about time nguvu yako ambayo ni "PRICELESS" ionekane,ijulikane na IHESHIMIWE maana pesa sio kila kitu.

#youmoveWEmove💪💪💪💪 "
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger