AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametambulishwa rasmi kujiunga na Klabu ya Yanga.
“Nimejiunga na Klabu kubwa kupita zote Afrika Mashariki na Kati, huu ukubwa lazima nifanye na klabu kubwa. Nitashirikiana na wenzangu kutimiza malengo ya Klabu.” Haji Manara.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK