.

8/06/2021

Majizzo Afunguka Haya Baada ya Kumnyakua Maulid Kitenge Kutoka Wasafi FM


"Tarehe 18 Octoba 2019, nilipost hapa ‘instagram’ kumuaga ndugu #MaulidKitenge ikiwa ni baada ya kukaa naye kwa takriban miaka 5.
Mimi na yeye tuliagana vizuri, tulitakiana heri. Tuliachana kwa wema. Kwangu maisha yanapaswa kuwa hivyo.

Baada kukamilisha yaliyompeleka kule #KochaMchezaji Maulid Kitenge, anarudi tena hapa ambapo bila shaka ni nyumbani kwake. Yeye ni kati ya watangazaji wa mwanzo hapa EFM, ni furaha kubwa sana kumkaribisha tena tufurahie pamoja hatua tulizofikia na kuendeleza mapambano zaidi"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger