.

8/20/2021

Makubwa.. Rose Mhando Adai Kila Mtoto Wake Ana Baba YakeMsanii wa nyimbo za Injili Tanzania Rose Muhando katika mahojiano na Wasafi Fm amesema katika watoto wake watatu kila mtoto anababa yake pia tokea aingie kwenye umaarufu hakuwai kua na Amani 

"Watoto Wangu Watatu Wote Wana Baba Zao, toka niingie maisha ya umaarufu sijawahi kuwa na furaha" - Amesema Rose Muhando

 Ikumbukwe Rosemuhando ameshazushiwa amekufa Mara kwa Mara lakini Mungu anaendelea kumtegemeza ilihali anapitia changamoto katika maisha yake. 

NINI MAONI YAKO.......  
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger