.

8/18/2021

Mange Kimambi AMPA Makavu Fahyma Kuhusu Rayvanny " Jifunze Kwa Hamisa Mobetto Kwa Dai"
Dada wa Taifa, @mangekimambi_ hajamsahau mdogo wake @fahyvanny kuhusu suala la kung'ang'ania penzi la mzazi mwenzie @rayvanny ambaye tayari keshamove on na @therealpaulahkajala .kupitia Instagram yake ,Mange ameandika GAZETIšŸ‘‡

“You are very beautiful ila hujajijua tu how beautiful you are.

Yani you deserve mwanaume wa maana kuliko huyo unaemuona wa maana.

Unajua sometimes Mungu anakuwa anajaribu kutufikisha kwenye maisha aliyokupangia na kukupatia mwanaume wa maana ila sisi wanawake huwa niwabishi. Unakuta Mungu amekuepusha na janaume flani ila wewe unaendelea kuling’ang’ania tuuuu. Kumbe Mungu alitaka uachane nalo ili akupe mwanaume wa zaidi yake, yani aliemzidi kila kitu.

Mimi personally najikumbuka jamaa niliempendaga kufa. Sijawahi pigania mwanaume kama yule jamaa. Mpaka kina Millen na urefu wote ule nilitaka kupigana nao ngumi. Ila sasa hivi huwa najichekaaa nasema Dah hivi ningeishia na yule jamaa leo ningekuwa naishi maisha ya hali gani? Ningekuwa naendesha benz saa hizi? Au ningekuwa naishi ocean Ave? Ningekuwa nanunua vitu vya designer? Ningekuwa na peace of mind?

Ila Mungu alijua kuniachanisha nae ili niwe na maisha bora zaidi.

Sasa na wewe Fahyma inabidi ujue kuwa Mungu hataki uje kuishi maisha ya kuunga unga. Labda anataka uolewe na janaume la maana tajiri la kununulia ma Range Rover sio wa kukununulia vigari havifanani na uzuri wako.

Na pia the more unaendelea kumtaka jamaa na kuonyesha unaumia ndo wale watazidi kujifanya wanapendana . Ukitaka waachane na penzi lao lisinoge ni wewe ku-move on na mtu wa zaidi yake. Yani wa mara 100 yake.Mpaka Paula atatamani aje akunyang’anye na huyo mpyašŸ¤£. Yani unaweza ukapata mtu wa maana ukaanza kuishi maisha ya ki-madam mpaka ukajicheka ulimpendeaga nini huyo mtu.

Just move on with your life. Wewe ndo unafanya penzi lao linoge maana unahangaika nao. Alafu wewe huna mascandal ya wanaume yani mara moja unapata mtu wa maana. Utakuja kuishi kwenye ghorofa lako unalomiliki sio la kupangishiwa na mwajiri wa bwanako.

Embu jiangalie kwenye kioo vizuri then jiulize why unang’ang’ana na huyo mtu? Girl wewe ni wa kuishi maisha ya peponi. Acha kulilia vinuka mkojo”

Jifunze kwa Hamisa. Angeendelea kukaa na Dai angeendelea kujipweteka, kupigwa matukio na angeishi maisha ya kusumbuliwa na mwanaume ila Mungu alimtoa pale ili apate maendeleo $$$ na aishi bila headache na naamini ataolewa na mwanaume zaidi ya huyo
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger