Manyara: Aua Mtoto wa Kaka na Kupika Maini Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Jeshi la Polisi linamshikilia Harold Hando, kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Kaka yake, Emmanuela Hando (13) kisha kumtoa viungo vya mwili.

Inadaiwa Hando alimuua Mtoto huyo kwa kumpasua katikati ya Miguu na kumtenganisha vipande viwili kisha kumtoa maini na kutaka kuyapika ili ayale.

Imeelezwa chanzo cha tukio hilo ni ushirikina, kwani Hando ametoa maelezo kwamba aliambiwa na Mungu wake amuue Mtoto wa kaka yake na kula maini, ili avune mazao mengi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad