.

8/11/2021

Msitupangie Muda wa Kumpost Mtoto Wetu..Zaeni na wenu MumpostiDada wa msanii Diamond Platnumz, Esma amemtolea uvivu mtu aliyetoa maoni kwenye post yake ambayo kamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa @dylandeetz mtoto wa kaka yake na Hamisa Mobetto kwa kile kinachoendelea kwa familia hiyo kuchelewa kumpost mtoto huyo ukilinganisha na ilivyokuwa kwa Tiffah.

Mtoa maoni kawaambia waache ubaguzi na unafiki maana birthday ya mtoto ni siku nzima lakini wao wameanza kumpost usiku huku mdau akisisitiza hata Dylan afanyiwe Party kama ilivyokuwa kwa Tiffah.

Esma amemtaka mdau kuacha kupangia familia za watu muda wa kupost mtoto wao,kama vipi na yeye azae wa kwake.

Waja wa Insta wameucheza mwingi sana hii leo lasivyo yangetokea kama yaliyotokea kwa NASEEB JUNIOR


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger