.

8/11/2021

Paula na Rayvanny kufunga Ndoa? Rayvanny atangaza “Niache nioa”

Ni Headlines za staa kutokea Bongo Flevani, Rayvanny ambae time hii ametangaza kupitia Social Network kwamba amefunga ndoa ambapo kitendo hicho kuacha Maswali mitandaoni.

Sasa Ayo TV ENT imekuandalia kila kitu unaweza ukabonyeza play kufahamu kile kilichoandaliwa.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger