.

8/08/2021

Watu 24 wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi na Kuchoma Gari na Piki Piki Morogoro


Watu 24 wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi toka kanda ya Mtwara na Morogoro pamoja na wa Wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine, wakati wakiendelea na upimaji wa mashamba mkoani Morogoro.

Akizungumza Kamishina wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Morogoro Frank Mizikunte amesema kwamba watu hao wameunguza kifaa cha upimaji Chenye thamani ya zaidi ya Milion 60, Computer 3, Gari la Mkurugenzi, Pikipiki 3 za wasamamizi wa shamba .

Hata hivyo bado sababu za Watu hao kufanya uharibifu huo hazijajulikana .HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger