Baada ya Yanga Kupoteza Mchezo Dhidi ya Rivers Kocha Afunguka Kwa Uchungu



Nilihitaji wiki sita (6) za maandalizi kwa ajili ya msimu wa mashindano lakini tumejiandaa kwa siku 25 tu. Siku 25 kwa maandalizi ni chache kwa sababu kuna program nyingi za kufanya.

Wakati tunarejea Tanzania [kutoka Morocco] wachezaji wengi waliondoka kwenda kwenye timu zao za Taifa.

- Nabi Mohamed, Kocha Mkuu Yanga.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad