No title

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA






Hali ya taharuki imetokea katika kitongoji cha Kipondoda wilayani Manyoni mkoani Singida, baada ya mwili wa marehemu Julia Amasi mwenye umri wa miaka 93 kuzikwa hapo jana na asubuhi ya leo kukuta kaburi likiwa limefukuliwa likiwa na jeneza pekee huku mwili ukiwa pembezoni mwa makaburi hayo


Mara baada ya kukuta kaburi hilo likiwa hakuna mwili wa marehem ndipo wakaanza kutafuta na kuukuta mwili ukiwa kando kidogo ya makaburi hayo.



Mwenyekiti wa kitongoji cha Kipondoda Jackson Job amelaani tukio hilo kwa kuwa vitendo hivyo vya uchimbuaji makaburi baada ya kuzika vimezidi kukithiri katika mji wa Manyoni.



Afisa Mtendaji wa Kata ya Manyoni Amina Mohammed ametoa wito kwa wananchi kuwafichua wale ambao hawatambuliki wakiwemo waganga wa kienyeji ambao ndio inaosadikika kuwa chanzo cha kutokea vitendo hivyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad