Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize Alifanya Kosa Kubwa Sana Kumuacha Jack Wolper


Harmonize ni mtu ambaye hakujali hisia za mwanamke ambaye alijitolea kwa moyo wake wote kuwa nae kimapenzi. Wolper alipoanza kudate na Harmonize, watu walimshangaa sana, inakuaje adate na mtu mdogo sana katika nchi hii, enzi hizo harmonize bado hajapata jina, lakini Wolper hakuelewa kabisa maneno ya watu, hakutaka kutengana na harmonize.

Lakini pale tu ambapo harmonize alipata pesa na kuwa star mkubwa akamuacha Wolper akampata tajiri Sarah, pale sarah hakumpenda harmo bali alipenda mziki wake na umaarufu, lakini hakuwa na upendo kama Wa Wolper. Yaliyotokea juu ya mahusiano ya Sarah kila mtu anajua, harmo akapotea akampata kajala.

Kajala ndio hakuwa kabisa na chembe ya kumpenda harmonize, yale mahusiano ni ghafla bini Vuu na yaliisha Ghafla pia. So tunaona kabisa mwanamke aliyemfaa harmonize ni wolper tu, hao wengine wakuja tu.

Wolper ni mwanamke aliyeweza vumilia mapungufu yote ya harmonize, lakini wanawake waliofuatia hawakuweza kuvumilia hata robo, Harmonize inabidi amuheshimu sana Wolper katika maisha yake yote na hakupaswa kumuacha kabisa.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments