Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Lemutuz Amchana "Mo Dewji Amefanya Wrong Timming"


LE SUPERBRAND! ZE AKILI ZANGU ZA MCHANA LIVE!: Pamoja na kwamba nipo mapumzikoni FIVE STAR HOTEL kwa sababu ya AFYA YANGU lakini nimuhimu niseme something kuhusu hii Ishu ya leo ....kwa lugha ya Kizungu STRATEGICALLY inaitwa ....'WRONG TIMMING" ...Simba Lunyasi ndio kwanza tunaanza Kampeni ya Ligi na WIKI NZIMA SASA MATOKEO HAYAPO SAWA .....Tumepigwa na Yanga na jana tumetoka sare na timu ndogo sana kule Musoma and then leo haya .. ...WRONG TIMMING inavunja MORALE Wachezaji na hataqa Mashabiki ...KWA NINI ILIBIDI WASUBIRI MAMBO YAENDE SIVYO NDIO WATANGAZE HAYA YA MO KUONDOKA? ....DALILI ZA MVUA NI MAWINGU inaonekana kuna tatizo ambalo halisemwi na MFICHA MARADHI HUFICHULIWA NA KIFO ....ninarudia tena kwamba it was WRONG TIMMING! - @lemutuz_superbrand

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments