.

9/17/2021

Ngoma Mpya ya Rosa Ree Yapokelewa Vizuri Mitaani..Wana Wanywe Pombe

 
Unaambiwa Ngoma Mpya ya Rosa Ree Yapokelewa Vizuri huku Mitaani..Rosa Ree Ametoa jana wimbo unaoitwa Wana Wanywe Pombe, ripoti za mtaa zinasema nyimbo inachezwa sana hasa kwenye mabaa mbali mbali, itazame hapo chini

VIDEO:


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger